Friday, 11 April 2014











WAZUNGU HATARI XANA WAMEAMUA KUTENGENEZA UKUMBI WA SINEMA WA AINA YAKE:


Wazungu bwana!! kwa hiyo hii ni aina nyingine ya ukumbi wa Cinema?

Screen Shot 2014-04-10 at 9.17.04 PMNi vitu vingi huwa vinatokea kwenye hii dunia na tayari wamemiliki headlines kwa kugundua vitu vya kipekee mfano gari linalojiongoza lenyewe pamoja na mengine mengi lakini bado hawajachoka kuja na vitu vya aina nyingine kwenye maisha ya kila siku.
Leo hii kupitia millardayo.com stori kutoka Uingereza ni kuhusu ukumbi wa CINEMA ambao watu wanatazama movie wakiwa ndani ya ‘mabeseni’ yenye maji ya moto na vinywaji vyao pembeni.
Hii ni aina ya kumbi za Cinema tulizozizoea.
Hii ni aina ya kumbi za Cinema tulizozizoea.
Umeionaje hii idea ya kutazama movie ndani ya ‘mabeseni’ ? naomba niachie comment yako hapo chini mtu wangu

No comments:

Post a Comment