Monday, 14 April 2014

               MAVAZI KAMA HAYA MPAKA LINI JAMAN DADA ZETU TUJIESHIMU KWANN ATUJITHAMINI WENYEWE:          






           



Hivi Huyu Dada Akitokea kabakwa na Huyu Boda boda Mbele ya Safari Atamlaumu nani ? Yani Hapo Kavaa Kichupi tu kwa Madai anaenda
Club....Dareva wa Bado Bado Full Kushawishika....Majaribu Mengine Si Mazuri Dada Zetu... Mjiachunga na mjieshimu dada zetu jaman

1 comment:

  1. ahhh eti ukiwauliza wanasema ndo wanaenda na wakati asa uko ni kwenda na wakatii au kwenda na ujingaa????

    ReplyDelete