MWANAMUZIKI LADY GAGA ATUMBUIZA AKIWA UCHI NI JAMBO LA AJABU SANA TENA NI LAKUSHANGAZA LAKINI KWA KWA MWANAMUZIKI HUYU NI KAMA JAMBO LA KAWAIDA....

Mwanamuziki Lady Gaga wa Marekani bila kuogopa umati mkubwa kwamba utamuumiza au kumchafua akijimwaga waziwazi akiwa amejivalia nguo zake za chekecheke na zenye kuonyesha waziwazi uchi wake.
Wanamuziki wa Marekani ni kawaida yao kuimba huku wakiwa nusu uchi au uchi kabisa ili kuwavutia mashabiki wengi zaidi, Lady Gaga aliyafanya hayo akitumbuiza kwenye sherehe za The Lollapalooza music festival huko Chicago

No comments:
Post a Comment