Wednesday, 30 April 2014


MI NASHANGAA WATANZANIA TUNAjizarau wenyewe kwann kutana na mtanzania ambaye ni tajiri mtu mwenye pesa zake  anazo nyingi tu lakini unamjua hakuna anayemtambua mtu kama huyu.... SOMA HABARI YAKE ZAIDI UPATE KUJUA MENG NA KUJIFUNZA..





HII NDO HISTORIA YA MTANZANIA MWENYE UTAJIRI WA AJABU HAPA BONGO



 

Davis Mosha, founder, Delina Enterprises, one of KenolKobil’s key transporters in the region.
Davis Mosha lives a fulfilling life by doing what he loves best: business, rallying and football. He is an entrepreneur, a rally driver and owns a football club in Tanzania, his motherland.

But this has been made possible courtesy of his business. Mr Mosha is the founder and director of Delina General Enterprises a company that transports fuel and other products to KenolKobil depots throughout East Africa. The company’s name Delina is derived from the first initials of his wife and children: D for David, E for Edgar, L for Lisa N for Nancy and A for Angela.


From Mombasa to Kampala, Dar to Congo, Delina serves KenolKobil clients with a passion born out of experience and a mutually beneficial relationship. Delina and KenolKobil have come a long way. It started in early 2000 when KenolKobil was seeking to expand its operations to Tanzania. The oil company rented his fuel station in Chalinze, Morogoro, the first that Kenol Kobil established in the country. Due to his experience doing business in East Africa’s biggest country, he also advised the company.


The watershed of Delina’s relationship with KenolKobil came in 2004 when the company asked him if he could invest in transportation. The deal? Move fuel products from Dar es Salaam to the Democratic Republic of Congo. He was the right man for the job. Mr Mosha was in transport as the owner of tippers which he rented to, among others, road construction companies. As a former owner of a fuel station, he also knew the sensitive nature of the product. “It was a good business opportunity with an even better business partner,” he says. He mopped up his savings and invested in five vehicles to pry the route.


Eversince, Delina’s growth has reflected that of Kenol Kobil. True to its goal of becoming the continent’s leading oil marketer, KenolKobil now operates in Kenya, Uganda, Tanzania, Burundi and recently started operations in Burundi. Mr Mosha has since expanded his fleet and operations to all the five East African Community countries. His fleet has grown from the initial five to over 70 all serving KenolKobil.


The oil company has been more than a business partner to him. For instance, when he needed money to increase his fleet from 30 to 50 vehicles in order to serve KenolKobil’s Rwanda and Burundi operations, the oil firm offered Delina the guarantee it needed to secure a loan from one of the regional banks. “Few, if any, companies can give you this kind of support. KenolKobil has really uplifted me.”


Delina operates in a sector characterized by many vices. Drivers sometimes pilferage fuel and mix with other Kerosene to make up for the stolen product. In addition, freak accidents leading to spillage have dented the image of some of players and in some cases with fatal consequences. A tanker for instance overturned along Kenya’s Nakuru-Eldoret highway. Many members of the public who rushed to scoop the fuel died after the tanker exploded.


But Delina’s trucks have not been involved in such vices. On the contrary, his safety standards have kept him as one of the leading KenolKobil transporters. Delina has taken several measures to ensure safe and efficient delivery of oil products. Before recruiting a driver, Delina conducts a background check to ascertain their character. Once hired, they are “trained and well taken care of”. There is a monthly bonus for drivers who meet their targets and timelines. There are over 90 drivers working in the firm. “We also maintain friendly working relations and they have direct access to me,” he says.


To avoid accidents, theft and guarantee safety of the vehicles and drivers, Delina has one golden rule: no vehicle travels after 6 p.m. “We get an alert in case a driver violates the provision and immediately get in touch with the them to find out why they are still on the road.” The vehicles are also fitted with GPS tracking sytems that show the location of the vehicle and notify Delina if product are being interfered with.


Like many firms, Delina also faces a number of challenges. Axle load limits in East Africa are for instance a logistical nightmare. The trucks pay different rates when passing each of the country’s weighbridges. “East African countries should harmonize the charges and axle load limits.” Roads, especially on the Kenyan side of the border are in a bad condition although “the situation is improving”, he says.


Mr Mosha, 38, was born into “a family of business people”. But he opted for an engineering course at “Dar Technical” and later worked as a cargo officer. It was during this time that he developed an interest in transport and bought his first lorry. Since he was still in his ‘20s, few people entrusted the young man with big contracts and he was hired either as a sub-contractor or to complement other larger companies. “This is why I am grateful to KenolKobil. They looked at my potential not my age before supporting my business,” says the tall, light complexioned entrepreneur who is married with three kids.


But courtesy of his hardwork and Kenol Kobil’s assistance, Delina is expanding beyond transport. He is already building two hotels in Tanzania, owns a car hire firm, a crane company and several other enterprises. “To succeed in business you must be very passionate and hardworking,” he says before adding, “of course it helps to have a partner like KenolKobil.”
source-lemutuz
HATARIIIIIIIIIIIIIIIII.... TUMESHAOEA KWA MWANADADA SHOSTI LADY GAGA KWA KUHUSISHWA NA MATUKIO MENGI YA AJABU AJABU NA YA KUSHANGAZA NI MWANADADA AMBAYE HAISHIWI NA MATUKIO HILI NI TUKIO LINGINE ...........................

MWANAMUZIKI LADY GAGA ATUMBUIZA AKIWA UCHI NI JAMBO LA AJABU SANA TENA NI LAKUSHANGAZA LAKINI KWA KWA MWANAMUZIKI HUYU NI KAMA JAMBO LA KAWAIDA....

Mwanamuziki Lady Gaga Atumbuiza Akiwa Uchi
Mwanamuziki Marekani  Lady Gaga Akijirusha Kwenye Umati wa Watu Uchi
Mwanamuziki Marekani Lady Gaga Akijirusha Kwenye Umati wa Watu Uchi
Mwanamuziki Lady Gaga wa Marekani bila kuogopa umati mkubwa kwamba utamuumiza au kumchafua akijimwaga waziwazi akiwa amejivalia nguo zake za chekecheke na zenye kuonyesha waziwazi uchi wake.
Wanamuziki wa Marekani ni kawaida yao kuimba huku wakiwa nusu uchi au uchi kabisa ili kuwavutia mashabiki wengi zaidi, Lady Gaga aliyafanya hayo akitumbuiza kwenye sherehe za The Lollapalooza music festival huko Chicago
Mwanamuziki Marekani Lady Gaga


DUUUUUUUH HII SASA NAYO KALI KAMA UJAWAHI SIKIA KITUKO HIKI NI KITUKO TENA SI KIDOGO MTOO WA MIEZI TISA AMBAYE HATA KUNYANYUA CHUPA YAKE YA MAZIWA HAWEZI ANATAFUTWA NA POLISI HUKO PAKISTANI KWA KOSA LA MAUAJI......UNATAKA KUJUA KAUA NINI INGIA NDANI USOME VIZURI....................


Mtoto wa Miezi Tisa Ashitakiwa Kwa Jaribio la Mauaji Pakistani

Mtoto wa miezi tosa (9) mafichoni kule LAHORE Pakistan kwa sababu ana kesi ya kujibu. Mtoto huyo pichani ambaye hata hawezi kunyanyua chupa yake ya maziwa anadaiwa kushiriki kwenye jaribio la mauaji.
Baby huyo anayeitwa Musa Khan sasa yuko mafichoni kwani polisi wanamtafuta. Wiki iliyopita mtoto huyo alipelekwa mahakamani na kutajiwa kesi hiyo ya jaribio la mauaji katika mojawapo ya mahakama mjini LAHORE.
Pamoja na mtoto huyo Baba yake na Babu yake wanahukumiwa pia. Sakata hilo lilianza pale polisi mmoja na mfanyakazi wa kampuni moja ya gesi aliyekuwa anakusanya bili za muda mrefu waliporushiwa mawe na waandamanaji wanaopinga kupunguzwa kwa gesi na kupandishwa bei.
Kesi ya kichanga hiki inaonyesha wazi udhaifu ulioko kwenye sheria za PAkistani
Hata hivyo taarifa za hivi punde kutoka LAHORE, Pakistani zinasema kuwa mahakama hiyo imemfutia kesi mtoto huyo
BAADA YA TUKIO KUBWA LA KUSISIMUA WATU NA LA KUSHANGAZA LILILOTOMTOKEA /KULIFANYA DAN ALVES KITENDO CHA KURUSHIWA NDIZI KAMA ISHARA YA UBAGUZI ALIIOKOTA NA KUILA..KITENDO HICHO KIMEONESHA UJASILI KWA WATU WENGINE NA KUMUUNGA MKONO KWA KITENDO ALICHOKIFANYA HAWA NI BAADHI YAO WALIOMUUNGA MKONO DAN ALVES.................
 SOMA ZAIDI UJUE KUNA NINI.....





AMAZING:DAVIDO, SAMWELI ETO'O, ADEBAYOR NA BALOTELI NAO WAPOST PICHA WAKILA NDIZI 

 

 
Amazing: Davido, Samuel Eto’o, Adebayor, Balotelli Post Banana Photos In Support

This awesome, this is amazing and breathtaking…. When I personally watched that video I was really touched…
Dani Alves ate the banana that was thrown at him, he started a revolution. Right now, it’s taken over the

social media.

The racist incident happened during Barcelona’s match against Villarreal on Sunday, when a banana was thrown onto the pitch towards Dani Alves as he went to take a corner. Everyone was amazed as Dani picked it up, peeled it back and ate it. And since then, he has been receiving massive support against racism.

Speaking after the match Alves said:

“We have suffered this in Spain for some time, you have to take it with a dose of humour. We aren’t going to change things easily. If you don’t give it importance, they don’t achieve their objective. I don’t know who it was, but thanks to whoever threw the banana, the potassium gave me the energy for the two crosses which led to a goal.”

The banana thrower has been identified and banned for life from games at the El Madrigal Stadium. The banana campaign for Alves has also gone viral. With even Davido sharing his own photo.. This is a nice move from Spanish F.A.. You wouldn’t want to try it in Nigeria, you will be beaten to stupor before banning of life.

 





TAZAMA HII PICHA YA RAIS KENYATTA AKIWA AMECHACHAWA NA KALIOZ LA ASKARI 


 

Mtu Mzima ni kama aamini anacho kiona....."Aisee huyu mleteni awe board guard wangu ...Life is Good.....hahah
 mheshimiwa anamshangaa askari kinguo alichovaa maana anavunja sheria ya kazi na ya serikari na wadada tubadilike jamani haya mavazi co mazuri na hayafai katika jamii yetu mbona mnakuwa hivyo jamani tena mtu mwaenyewe yupo kazini unavaa kivazi cha ajabu huu ni utovu wa nizamu.....

BASI LAUWA WATU 18 WALIOKUWA WAKIMSITIRI MAREHEMU KANDO YA BARABARA

 

 
 
WATU 18 wamekufa papo hapo wakiwemo askari Polisi wanne katika ajali ya barabarani, wakati basi linalomilikiwa na Kampuni ya Sumry, lilipopamia watu hao wakati wakimsitiri mtembea kwa miguu, aliyekufa kwa kugongwa na gari lisilofahamika.

Ajali hiyo ilitokea usiku wa kuamkia jana katika Kijiji cha Utaho, kilometa 20 nje ya Mji wa Singida katika Barabara Kuu ya Singida Dodoma.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Kamishina Msaidizi Mwandamizi, Geofrey Kamwela, alisema jana kuwa mbali na askari hao, wengine waliokufa papo hapo ni viongozi watatu wa kijiji hicho na wananchi wanaowaongoza na wengine wanne ambao hawajatambulika. 

Kwa mujibu wa Kamanda Kamwela, askari waliokufa katika ajali hiyo ni Koplo Boniface Magubika, PC Jumanne Mwakihaba, PC Novatus Tarimo na PC Michael Mwakihaba na wote wanatoka katika kituo kimoja cha kazi.

Viongozi wa Kitongoji na Kijiji cha Utaho waliokufa ni Ramadhan Mjengi, ambaye ni Ofisa Mtendaji wa Kijiji, Paul Hamis, ambaye ni Mwenyekiti wa Kijiji na Ernest Salanga ambaye ni Mwenyekiti Kitongoji.

Wananchi wanaowaongoza katika kijiji hicho waliokufa ni Saidi Rajabu, Ushirika Itambu, Chima Mughenyi, Salim Juma, Abeid Ramadhan, Mwinyi Hamis na Issaha Hussein.

Kwa mujibu wa Kamanda Kamwela, miili ya watu wengine wanne haikuwa rahisi kutambulika mara moja na wote wamehifadhiwa katika Hospitali ya Mkoa mjini Singida.

Kamanda Kamwela alisema ajali hiyo ilisababishwa na basi la abiria lenye usajili namba T.799 BET aina ya Nissan, mali ya Kampuni hiyo ya Sumry, inayomilikiwa na Mohamed Abdallah wa Sumbawanga, lililokuwa likienda jijini Dar es Salaam likitokea Kigoma.

Alisema kuwa basi hilo lililokuwa likiendeshwa na Paul Njilo, mkazi wa Dar es Salaam, liliwagonga waenda kwa miguu hao waliokuwa wamekusanyika kando ya barabara wakisaidiana na askari Polisi kuondoa mwili wa marehemu Gerald Zephania, aliyekuwa amegongwa na lori lisilofahamika juzi saa moja usiku.

Katika ajali hiyo kwa mujibu wa Kamanda Kamwela, watu wengine wanane walijeruhiwa na wamelazwa katika Hospitali ya Misheni Puma ya mjini Singida.

Habari kutoka eneo la tukio zinasema kilichosababisha ajali hiyo huenda ni kuegeshwa vibaya kwa gari la Polisi, wakati likipakia mwili wa marehemu Gerald, aliyekuwa amegongwa na lori mapema kabla ya basi hilo kufika hapo. Inadaiwa gari la Polisi liliziba barabara.

Akizungumzia ajali hiyo katika Makao Makuu ya Polisi Dar es Salaam jana, Kamishna Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, Paul Chagonja, alitoa pole kwa wananchi wote waliofiwa na ndugu zao na kuwaombea majeruhi kupona haraka.

Alisema Askari wa Usalama Barabarani hawatakuwa na muhali na dereva yeyote atakayekwenda kinyume na Sheria ya Usalama Barabarani. Kutokana na hilo, ametoa mwito kwa madereva kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za usalama barabarni, ili kuepusha ajali zinazoweza kuzuilika.

“Polisi iko imara kuchukua hatua zozote za kisheria, kwani kuna baadhi ya watoa huduma wa usafiri hugoma pale wanapotaka kuchukuliwa hatua kwa sababu mbalimbali matokeo yake ni uvunjaji wa sheria kwa makusudi,” alisema.

Alisema Jeshi la Polisi limeanzisha msako mkali wa dereva wa basi hilo ambaye alitoroka ili kufikishwa mahakamani, na kuwaomba wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa kutoa taarifa za wahalifu wa aina yeyote ile, ili wakamatwe na kufikishwa mahakamani.

Tuesday, 29 April 2014


MWANAFUNZI WA CHUO AFIA CHUMBANI KWA HAWARA YAKE 

Stori: DENIS MTIMA NA MAYASA MARIWATA

MSICHANA Atu Gabriel mwenye umri wa miaka 20,  mwanafunzi wa Chuo cha Eden Hill kilichopo Kwamfipa wilayani Kibaha mkoani Pwani, amekutwa amekufa chumbani kwa mtu anayetajwa kuwa ni hawara yake, Hafidh Mohammed.

Tukio hilo lilitokea April 26, mwaka huu na kukusanya umati huku mwanaume aliyelala na binti huyo akitokomea kusikojulikana.Marehemu anadaiwa kuwa mwenyeji wa Makambako mkoani Njombe.

Akizungumza na waandishi wetu juzi Kibaha, mama wa Hafidh ambaye pia ni mjumbe wa eneo hilo, Zainabu Saidi alisema mwanaye alimweleza kutokea kwa tukio hilo asubuhi kulipokucha na kabla ya hapo, hakuwa akifahamu kama alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na msichana huyo kwa vile aliyekuwa akimfahamu ni mwanamke mwingine ambaye alizaa naye.

“Mimi kwa kweli sikuwa na taarifa yoyote juu ya uhusiano wao na huyu  mwanafunzi, nimeletewa taarifa asubuhi na kijana wangu huku akionekana kuchanganyikiwa, nimejaribu kumsihi asikimbie lakini imeshindikana,” alisema mama huyo.

ALIVYOAGA CHUONI
Wanafunzi wa chuo hicho kinachofundisha masomo ya biashara na habari ambao walikataa kutaja majina yao waliliambia gazeti hili kuwa, marehemu Atu aliwaaga anakwenda jijini Dar es Salaam kumuuguza wifi yake aliyelazwa katika Hospitali ya Amana, Aprili 23, mwaka huu.

Hata hivyo, walisema uondokaji wake uliwapa maswali mengi kwani tofauti na walivyotegemea kuwa angebeba mfuko mkubwa wenye nguo za kubadili, yeye aliondoka akiwa na mkoba wake wa mkononi pekee hali iliyoonesha hakuwa akienda mbali.

Walisema siku tatu baadaye walipatwa na mshtuko mkubwa baada ya mlinzi wa hosteli yao kuwaletea taarifa za kifo cha mwenzao kilichotokea katika chumba cha mvulana huyo anayeishi jirani.

MAJIRANI NAO WANENA
Majirani waliozungumza na gazeti hili walisema kwao haikuwa mara ya kwanza kumuona msichana huyo, kwani mara kwa mara alikuwa akifika pale ingawa akishaingia ndani hakuwa akitoka nje.

Walisema mara zote hizo, mwanaume huyo mwenyeji ndiye alikuwa akitoka nje na kwenda kumnunulia chakula.

POLISI WAUPELEKA MWILI HOSPITALI YA TUMBI
Jeshi la polisi liliwasili eneo la tukio na kuukuta mwili huo ukiwa umelala kitandani ukiwa hauna jeraha, lakini pembeni yake kulikutwa vidonge ambavyo havikufahamika ni vya aina gani ambavyo pia vilichukuliwa pamoja na mkoba wake hadi kituonis.

Minong’ono kutoka kwa majirani kuhusiana na vidonge hivyo ilitofautiana,  baadhi yao walisema huenda vilitumika katika jaribio la kutoa mimba, wengine walisema inawezekana msichana huyo alipata ugonjwa wa ghafla usiku na mwanaume huyo alikwenda kumchukulia vidonge hivyo ambavyo havikuweza kumsaidia marehemu kupata nafuu.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani,  SACP Ulrrich Matei alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema juhudi za kumtafuta mwanaume huyo zinaendelea huku madaktari nao wakiendelea na uchunguzi wao ili kubaini chanzo cha kifo hicho.

 


UNGA WAZIDI KUMTESA MWANADADASHOSTITO MKALI WAO KIONO BILA MFUPA RAY C SOMA ZAIDI MTU WANGU..........


NA MAKONGORO OGING'

MSANII mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Rehema Chalamila ‘Ray C’ ambaye aliwahi kuathirika na utumiaji wa ‘unga’, hivi karibuni alitinga ofisi ya kitengo cha kupambana na kudhibiti madawa ya kulevya na kuomba kupatiwa majina, idadi na sehemu walipo watumiaji wa mihadarati hiyo ili aweze kuwasaidia kwa kuwapa somo, kitu kinachotafsiriwa kama bado unamtesa.

Ray C anadaiwa kufika katika ofisi hizo, Aprili Mosi, mwaka huu, saa nne asubuhi hali iliyozua gumzo kwa askari waliomuona ambao walijiuliza kitu alichokifuata.

Akizungumza na Uwazi, kamanda wa kitengo hicho cha madawa ya kulevya, Godfrey Nzowa alikiri kufika kwa msanii huyo ofisini kwake na kutoa madai hayo lakini alimwelekeza kwenda Hospitali ya Taifa Muhimbili kwani huko kuna kitengo kinachoshughulika na watu wenye matatizo ya akili wakiwemo watumiaji wa madawa ya kulevya.

Kamanda huyo alionesha kufurahishwa na kitendo cha msanii huyo ambaye pia anamiliki taasisi yake yenye lengo la kuwasaidia waathirika wa matumizi ya madawa hayo kwa kuwapa elimu, akisema atatoa msaada mkubwa kwa wenzake.

Aliwataka watumiaji wa madawa hayo ambao wameshindwa kuacha, wamfuate msanii huyo ili awape elimu na amewaonya wote wanaotumia na kusafirisha madawa hayo.
“Wote wanaotumia na kuuza madawa hayo waache mara moja kwani kikosi kazi kinachopambana na biashara hiyo kimejipanga kila kona ili kukomesha biashara hiyo haramu,” alisema Kamanda Nzowa.
GPL

HATARI HIYO WIVU NI NOUMA SANA JAMANI INASIKITISHA SANA EMBU MSOME HUYU MTU........

AZINYOFOA SEHEMU ZA SIRI ZA MUMEWE KWA WIVU NA UGOMVI WA KIMAPENZI 

 

AZINYOFOA SEHEMU ZA SIRI ZA MUMEWE KWA WIVU NA UGOMVI WA KIMAPENZI

Jeshi la polisi mkoa wa Pwani linamshikilia Husna Iddi Kisoma (19) , mkazi wa Kisemvule Mkuranga mkoa wa Pwani kwa tuhuma za kumuua mumewe Jumane Mwalami (21) baada ya kumvuta sehemu za siri na kuzinyofoa kutokana na ugomvi uliosababishwa na wivu wa mapenzi.

 Akizungumza na kipindi cha Maskani cha 100.5 Times Fm, kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani, Ulrich Matei ameeleza kuwa tukio hilo lilitokea juzi usiku na kwamba kulikuwa na ugomvi kati ya wawili hao huku kijana huyo akimtuhumu mwanamke huyo kuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanaume wengine.

 Ameeleza kuwa wakati ugomvi unaendelea, mwanamke huyo alizishika sehemu za siri za mumewe na kuzivuta hadi kuzinyofoa.

Mwanaume huyo alipata maumivu makali na alikimbizwa hospitali ya Mkulanga ambapo alifariki.

Jeshi la polisi limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa huyo na tayari ameshafikishwa mahakamani akikabiliwa na kesi ya mauaji.




ASERNAL, YAILAZA NEWCASTLE 3-0

















article-2615255-1D6DBB7900000578-439_634x422
ASERNAL imezidi kujiweka katika mazingira mazuri ya kuingia timu nne bora za ligi kuu soka nchini England msimu huu na kufuzu kucheza UEFA mwakani baada ya usiku huu kuilaza Newcastle mabao 3-0 kwenye uwanja wa Emirates.
Mabao ya Laurent Koscielny, Mesut Ozil na Olivier Giroud yameifanya Asernal iweke pengo la pointi nne dhidi ya wapinzani wao wakubwa wa nafasi ya nne, klabu ya Everton.
Kwa matokeo hayo, Asernal imefikisha pointi 73 katika nafasi ya nne, huku Everton wakisalia nafasi ya tano kwa pointi 69, na timu zote zimebakisha mechi mbili mbili kufunga msimu.
article-2615255-1D6DFEB000000578-209_634x378Asernal hawakutarajia kama wangekuwa hapo walipo kufuatia kuanza vizuri ligi kuu msimu huu na walionekana kuchanganyikiwa zaidi baada ya kufungwa katika uwanja wa Goodison Park.
Wiki tatu baadaye, Everton walianza kuteteleka na Asernal kurudi katika moto wake baada ya kurejea kwa nyota wake Aaron Ramsey na Mesut Ozil.
Kumaliza katika nafasi ya nne jumlisha kombe la FA yatakuwa mafanikio kwa kocha Aserne Wenger msimu huu na pengine yatachangia kumwaga wino katika mkataba mpya wa kuifundisha klabu hiyo.
Asernal wanaweza kujihakikishia nafasi ya nne kama wataifunga West Bromwich Albion jumapili ya wiki hii, huku wakisubiri mechi yao ya kufunga msimu dhidi ya Norwich.

ADAM NDITI: MOURINHO ANATUFUNDISHA KULINDA, KUCHEZA , KUSHAMBULIA, TUTAWAFUNGA ATLETICO










2014-Chelsea-FC-vs-Atletico-de-Madrid-UCL-Desktop-Background


UNAPOZUNGUMZIA wachezaji wa Kitanzania wenye bahati ya kucheza klabu kubwa duniani, huwezi kuacha kumzungumzia Adam Nditi anayekipiga katika klabu ya Chelsea.
Nditi amepata bahati ya kunolewa na kocha bora duniani, Jose Mourinho katika dimba la Stamford Bridge.
Mahojiano maalum yamefanywa baina ya mtandao huu na Nditi akiwa jijini London nchini Uingereza.
Nditi amefafanua kuwa katika mazoezi wanayofanya chini ya kocha Mourinho wanafundishwa mambao matatu.
“Katika mazoezi yetu, tunafundishwa namna ya kulinda, kucheza na kufunga”
“Kocha anatumia muda mwingi katika masuala haya matatu”.
“Kila klabu ina mbinu zake za kusaka ushindi katika mechi”. Amesema Nditi.
Aidha, kinda huyo alishangazwa na maneno ya watu kuwa walicheza kwa kujilinda zaidi “maarufu kama kupaki basi `dhidi ya Liverpool jumapili iliyopita na kushinda mabao 2-0 kwenye uwanja wa Anfield.
“Watu wanasema tulipaki basi, sasa ilikuwaje tukafunga mabao mawili?, au Liverpool walijifunga?, kila timu ina mbinu zake za kutafuta matokeo”.
“Timu yetu ilijilinda ili isifungwe, ikacheza mpira na kushambulia na kupata mabao mawili”.
“Nilisema toka awali kuwa kocha Mourinho anatufundisha kulinda , kucheza mpira na kushambulia ili tufunge”.
“Tulifanya vyote, tulilinda lango letu, tukacheza mpira na kufunga”
“Hii ni mbinu ya Chelsea na kocha wetu, Jose Mourinho”.
Akiuzungumzia mchezo wa kesho kutwa dhidi ya Atletico Madrid katika nusu fainali ya pili ya ligi ya mabingwa barani Ulaya, Nditi alisema wanajiamni kuibuka na ushindi.
“Mechi na Atletico timu itabadilika kiuchezaji, Usitegemee kuona mpira uliochezwa Hispania, hapa nyumbani tutacheza tofauti na kupata ushindi”. Amesema Nditi.
Chelsea katika mchezo wa kwanza ulilazimisha suluhu pacha ya bila kufungana na Atletico katika dimba la Vicente Calderon na ili kufuzu hatua ya fainali wanatakiwa kushinda bao 1-0.
Hii itakuwa mechi muhimu kwa Jose Mourinho mwenye chagizo la kushinda mchezo mgumu wa ligi dhidi ya Liverpool jumapili iliyopita.



































ANCELOTTI, GAURDIOLA WAOGOPANA KIAINA, ALLIANZ ARENA MOTO KUWAKA







bayern-munichs-coach-josep-guardiola-l-reacts-real-madrids-coach-carlo-ancelotti-r-looksCARLO Ancelotti amesema Real Madrid inahitaji kufunga mabao katika mchezo wa marudiano wa nusu fainali ya pili ya UEFA dhidi ya Bayern Munich kesho Allianz Arena.
Los Blancos (Real Madrid) wataingia uwanjani wakiwa wanaongoza kwa bao 1-0 walilofunga kupitia kwa Karim Benzema katika mchezo wa kwanza uwanja wa Santiago Bernabeu.
Lakini Ancelotti amesisitiza kuwa licha ya timu yake kuwa na faida ya bao moja si sababu ya kuingia kwa kulinda na ameshawaambiwa wachezaji wake kuonesha dhamira ya kucheza fainali baada ya kupita zaidi ya muongo mmoja.
“Inawezekana kufuzu bila kufunga, lakini dhamira yetu ni kufunga.”.
“Tumefunga mabao mengi UEFA na La Liga na tunahitaji kufanya hivyo tena”. Ancelotti amewaambiwa waandishi wa habari.
“Tunaweza kucheza mifumo tofauti ya mpira, lakini kwa michezo mingi tunajaribu kushambilia “
“ Tutatumia faida ya kuwa na wachezaji walioimarika kimaumbo na kiufundi”.
“Tunajua mechi ya kesho itakuwa ngumu sana. Tunacheza na timu kubwa tukiwa na faida ndogo, kwahiyo sisi sio wapumbavu na kamwe hatuwezi kuingia kwa kudhani tayari tumeshafuzu”.
Naye Kocha wa Bayern Munich, Josep Pep Guardiola amesema malengo yake ni kupindua matokeo ya kwanza na kusonga hatua ya fainali.
Gaurdiola alikiri ugumu wa mchezo huo, lakini alisema wameshajiandaa kushinda.
“Mimi nataka kushinda. Wachezaji wanataka kushinda na mashabiki wanataka kushinda”
“Kwa matarajio kama haya, lazima tuingie kwa nguvu moja”.
“Najua Real Madrid ni timu kubwa na siku zote nafurahi kucheza nusu fainali hasa na klabu kama hii. Itakuwa mechi ngumu lakini tutajitahidi kupata matokeo”. Alisema Gaurdiola.

Wednesday, 23 April 2014

INASIKITISHA SANA JAMANI KWA MZEE KAMA HUYUMZEE WA MIAKA 61 AKATWA SEHEMU ZAKE ZA SIRI WAKATAJI WAKIMBIA KUSIKOJULIKANA:
Majirani wakimuhudumia majeruhi ndani ya gari.
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la London Haonga(61) mkazi wa Kijiji cha Mapogolo Kata ya Mbebe Wilaya ya Ileje Mkoani Mbeya amejeruhiwa vibaya kwa kukatwa nyeti zake na watu watatu wasiofahamika kisha kutokomea nazo kusikojulikana.

Tukio hilo limetokea majira ya saa mbili usiku April 19 mwaka huu baada ya mmoja kati ya watuhmiwa kufika nyumbani kwa mzee huyo kisha kubisha mlango akiomba msaada wa kuonyeshwa njia akidai amepotea njia.

Mzee London alipotoka nje ya nyumba akiwa anamwelekeza njia mtu huyo anayedaiwa kuwani mjukukuu wake mita chache kutoka nyumbani kwake alifunikwa na kitambaa usoni na watu wawili kisha kuangushwa na kukatwa nyeti zake ambazo waliondoka nazo.
Mtendaji wa Kijiji cha Mapogolo Cosmas Haonga amesema baada ya unyama huo Mzee London alipoteza fahamu na alipozinduka alipiga yowe kuomba msaada ambapo majirani walifika na kutoa msaada wa kumkimbiza Hospitali ya Wilaya ya Ileje huku wakiwasaka watuhumiwa wa tukio hilo.

Kwa mujibu wa Mtendaji wa Kijiji imedaiwa kuwa watuhumiwa wa tukio hilo wanatokea Mpemba wilaya ya Momba ambao walitambuliwa na mhanga wa tukio hilo ambapo baada ya kupewa PF 3 mzee London amekimbizwa Hospitali ya Rufaa Mbeya ambapo alifikishwa Hospitali ya Rufaa majira ya saa 11:00 jioni April 20 huku akilalamika kwa maumivu makali.

Kwa upande wake Kamanda wa Polisi Mkoani Mbeya Ahmed Msangi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kudai kuwa chanzo cha awali imedaiwa sababu za kutendewa ukatili huo umetokana na mmoja wa ndugu aliyedai kuwa mzee huyo anatuhumiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mke wa mdogo wake hivyo watu hao walitumwa kwa nia ya kulipiza kisasi.

Aidha imedaiwa kuwa baadhi ya viungo vimekamatwa na wengine kudai kuwa tukio hilo kuhusishwa na imani za kishirikina kwani imedaiwa watuhumiwa kuimbilia nchi jirani mara baada ya kutenda kitendo hicho cha kikatili.

Kamanda Msangi ameoa wito kwa jamii kuacha tabia za kujichukulia sheria mkononi amesema pindi wanapokuwa na migogoro ni vema kutatua migogoro kwa njia ya mazungumzo ili kuleta amani na kuahidi wale wote waliohusika na tukio hili wanakamatwa na kufikishwa kwenye mikono ya sheria kwani hakuna mtu aliye juu ya sheria.


 




KWELI DUNIA IMEISHA HILI SWALA BADO LIPO KUMBE SIKIA HII:
   BINTI WA MIAKA KUMI NA SITA ATOA SII NZITO KUHUSU  FREEMASON ALEZEA KILA KITU NA KUMBE ALIKUWA NI MALKIA MDOGO :-
SOMA ZAIDI..............


 
Binti mmoja aliyetambulishwa kwa jina la  Fauzia (jina la mbele lipo), mwenye umri wa miaka 16, mkazi wa Kigogo jijini Dar amedai kutumikia nafasi ya umalkia katika imani yenye utata duniani ya Freemason.


Binti huyo alikwenda mbele zaidi kwa kudai kwamba ili kujiunga na imani hiyo, alimuua mama yake mdogo kwa ajili ya kafara.
 Akizungumza siku chache baada ya kuokoka akiwa nyumbani kwa baba yake mdogo, Kigogo, Fauzia alisema alitokea Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga alipokuwa akiishi na bibi yake.

 Alikuja Dar kwa lengo la kuendeleza mauaji ya kafara ambapo safari hii ilikuwa amuue mama yake mdogo mwingine ambaye ni mjamzito kwa sasa.
 Alisema kama angefanikiwa kumuua, angepandishwa cheo na kuwa malkia kamili katika jamii hiyo inayotafsiriwa vibaya duniani.

 ALIKOTOKEA
Fauzia alisema kuwa mara ya kwanza hakujua kama amekuwa mwanachama wa Freemason bali alichojua yeye alijiunga na uchawi wenye ushirika wa Kahama na Kigogo jijini Dar es Salaam ambapo mara kwa mara alikuwa akija Dar usiku na kufanya mambo ya kichawi kwa watu mbalimbali.


 Alisema siku moja aliambiwa lazima amtoe uhai mama yake mdogo, naye kwa uwezo aliokuwa nao alifanya hivyo, mama yake mdogo akafa kwa kuugua ghafla.

 Baada ya kifo cha mama yake mdogo, ndipo usiku mmoja bibi kizee mmoja (alimtaja jina) alimtokea katika ulimwengu wa kiroho na kumwambia alitakiwa aende kwenye Jiji la Lagos nchini Nigeria kwa ajili ya kutambulishwa rasmi na kupewa umalkia mdogo.

Baadhi ya vitu vinavyotumika kwa ajili ya kafara.

 SAFARI YA NIGERIA ILIVYOKUWA
Akiendelea kuzungumza huku akionekana kujiamini licha ya umri wake mdogo, Fauzia alisema:
“Siku nilipoondoka kwenda Nigeria nilikuwa na wenzangu walionisindikiza. Ilikuwa ni safari ya kimiujiza. Tulipofika kule, wao waliniacha mahali, mimi nikajikuta nikitokea ndani ya jengo kubwa ambalo ndani yake nilikuta mtu mwenye asili ya Kiarabu.

 “Yule mtu alinipokea na kuishi naye. Siku moja aliniambia Fauzia wewe una na nguvu mbili, za Freemason na uchawi,” alisema.

 ASIMIKWA KUWA MALKIA MDOGO
Aliendelea kusema: “Ndipo siku moja ikafika, nikasimikwa kuwa malkia mdogo kwa kukabidhiwa gauni fupi jeupe na kitambaa cheupe cha kuvaa kichwani  (vilioneshwa kwa waandishi wa habari hii).

 Hizi nguo ni dalili kwamba anayemiliki ni malkia mdogo. Unakuwa na uwezo wa kujua mambo yote ya siri ya kidunia yanayoendelea.

 “Baada ya hapo,  nilirejea hapa nchini kwetu. Nilipokewa na bibi ambaye alikuja kimazingara. Bibi aliniuliza ni wapi nilikokuwa mpaka nimepata nguvu za Freemason wakati yeye alinikabidhi uchawi wa kawaida? Sikumjibu,” alisema Fauzia mbele ya baba yake mdogo na mama yake mdogo aliyekuwa amuue.
 AKUMBUKA SIKU YA KWANZA KUJIUNGA NA FREEMASON
Katika mazungumzo hayo yaliyohudhuriwa pia na majirani, binti huyo akakumbuka jambo zito lililomtokea akiwa darasa la saba na kusema:

 “Nakumbuka nikiwa darasa la saba, siku moja usiku niliota ndoto. Nilimwona mzee mmoja mwenye mapembe akinijia na kunikabidhi mikoba. Naamini yule mtu ndiyo aliniingiza kwenye Freemason kwani kuanzia pale ndipo nilipobadilika na kuwa na uwezo wa kuja Dar na kurudi Kahama kwa usiku moja.

 “Basi, baada ya kurudi nyumbani Kahama, siku moja nikaambiwa na wakubwa wangu natakiwa kwenda nchini Marekani kwa ajili ya kuongeza nguvu za Freemason.
 “Kule nilikaa kwa siku kadhaa na nikafundishwa mambo mengi ya ajabu, pia nilikutana na viongozi wakubwa wa kidini na kiserikali wa hapa nchini Tanzania (aliwataja majina).

 MAISHA YA NYUMBANI AKIWA SAFARINI
“Ilivyokuwa ni kwamba, kila nilipokuwa safarini, nyumbani nilikuwa naacha jini lililofanana na mimi kwa kila kitu. Jini hilo lilifanya kazi nyumbani badala yangu pasipo mtu yeyote kufahamu wakijua ni mimi. Niliporudi na jini liliondoka.

 
ATOBOA SIRI ZA SCREEN TOUCH
“Nikiwa katika jengo la ajabu la Freemason nchini Marekani, niliona watu wengi wakitengeneza simu za kisasa ‘screen touch’ na televisheni za ‘flat screen’ nilipowauliza za nini? Walinijibu kuwa simu hizo zimewekwa kifaa maalumu cha kunyonya damu ya mtumiaji kutoka kwenye kidole chake kila mara atakapobofya.


 “Zamani kulikuwa na simu zikitumia peni maalum kwenye screen lakini Freemason waliamua kuziondoa kwa kuwa hazikuwa zikiwapelekea damu. Hivyo mtumiaji wa simu za screen touch za sasa lazima aguse kwa kidole chake na si kwa kitu kingine ndipo ataweza kutumia simu yake ilimradi tu achangie damu yake kwenye benki za damu za Freemason zilizopo Marekani.”

 KUHUSU TV FLAT SCREEN
Akifafanua kuhusu runinga za flat screen, Fauzia alisema kuwa, hizo zimewekewa kifaa chenye mionzi ya ki-Freemason ambacho humfanya mtu anayeangalia kila wakati kuwa zezeta huku vifo vya ghafla akivitaja kama matokeo makuu ya kuangalia televisheni hizo.

 AZUNGUMZIA SURUALI MAARUFU ZA SKIN TIGHT
Mbali na hayo, binti huyo alizizungumzia suruali maarufu za wasichana zinazotambulika kwa jina la  ‘skin tight’ ambazo hubana.

 Alisema suruali hizo zimewekwa nyuzi maalum za kijini ambazo husababisha mwanaume yeyote ambaye atamuona msichana akiwa katika vazi hilo amtamani kingono hata kama msichana huyo havutii.

 PASAKA NA X-MASS
Binti huyo alizidi kutia hofu watu pale aliposema kuwa Sikukuu za Pasaka na X-Mass zimekuwa kubwa duniani kwa sababu Freemason wametia mkono kwa kuzikuza na kutumbukiza akilini mwa watu tabia ya dhambi.

 “Wengi wanaziona sikukuu hizo ndiyo za kufanyia maasi, kama vile ngono, ulevi kupitiliza na kufuru nyingine na wanaopotezewa uhai kwa ajili ya sikukuu hizo ni wengi sana,” alisema.

 KUHUSU KUMUUA MAMA YAKE MDOGO
Kuhusu jaribio la kumuua mama yake mdogo, Fauzia alisema alishindwa mara zote kwa kuwa alikuwa ‘mzito’. Aliwataarifu Freemason wenzake wamuue lakini nao walishindwa na kudai kuwa alikuwa akiwaka moto.


 Alidai kuwa mama mdogo huyo hakujua lolote lililokuwa likiendelea mpaka pale alipofika mpwa wao ambaye ni mlokole na kumuombea Fauzia.

 MJOMBA MTU AZUNGUMZA
Akizungumza na waandishi wetu, mjomba wa Fauzia aliyejitambulisha kwa jina la Gervas ambaye ni mlokole, alisema kuwa kila mara alipokuwa akimuangalia binti huyo, alihisi ana mambo tofauti na binadamu wengine.

 Alisema: “Siku moja nilimsikia roho wa Mungu akiniongoza kufika nyumbani hapa na kuomba. Nilijikuta nikimuita Fauzia na kuanza kumuombea.
 “Nilishangaa sana kumwona  akipandisha mashetani na kuzungumza mambo ya kutisha aliyodai kuyafanya kwa siri. Baada ya  maombi ya muda mrefu nikisaidiwa na familia yangu ndipo nilipovitoa vifaa vya ajabu.”
 BABA MDOGO AZUMGUMZA
Akizungumza na waandishi wetu, baba mdogo wa Fauzia aliyejitambulisha kwa jina la Amos Deda ambaye anaishi na binti huyo Kigogo na a

mbaye mke wake ndiyo alikuwa auawe, alisema:
“Sikuwa nikiamini kabisa kuhusiana na masuala haya mpaka nilipojionea mwenyewe vifaa hivi vya kichawi vya Freemason vikitolewa na mjomba wake.


 “Fauzia ameniomba msamaha, pia ameomba msamaha kwa familia. Lakini pia akasema ajali iliyomvunja miguu shangazi yake miaka ya nyuma na kumuua mtoto wa shangazi yake huyo aliisababisha yeye, pia akaomba msamaha. Tumeupokea.”
 Pia Fauzia aliiomba radhi kwa familia ya 
mama yake mdogo ambapo alidai kumuua mama huyo kwa kushirikiana na mkubwa wake mwingine.
 
NENO LA MWISHO
“Kwa sasa nimeokoka, nimeachana kabisa na mambo haya,  zaidi ninamtumikia Mungu kwa nguvu zangu zote,” alisema Fauzia.

Monday, 14 April 2014

               MAVAZI KAMA HAYA MPAKA LINI JAMAN DADA ZETU TUJIESHIMU KWANN ATUJITHAMINI WENYEWE:          






           



Hivi Huyu Dada Akitokea kabakwa na Huyu Boda boda Mbele ya Safari Atamlaumu nani ? Yani Hapo Kavaa Kichupi tu kwa Madai anaenda
Club....Dareva wa Bado Bado Full Kushawishika....Majaribu Mengine Si Mazuri Dada Zetu... Mjiachunga na mjieshimu dada zetu jaman

Friday, 11 April 2014











WAZUNGU HATARI XANA WAMEAMUA KUTENGENEZA UKUMBI WA SINEMA WA AINA YAKE:


Wazungu bwana!! kwa hiyo hii ni aina nyingine ya ukumbi wa Cinema?

Screen Shot 2014-04-10 at 9.17.04 PMNi vitu vingi huwa vinatokea kwenye hii dunia na tayari wamemiliki headlines kwa kugundua vitu vya kipekee mfano gari linalojiongoza lenyewe pamoja na mengine mengi lakini bado hawajachoka kuja na vitu vya aina nyingine kwenye maisha ya kila siku.
Leo hii kupitia millardayo.com stori kutoka Uingereza ni kuhusu ukumbi wa CINEMA ambao watu wanatazama movie wakiwa ndani ya ‘mabeseni’ yenye maji ya moto na vinywaji vyao pembeni.
Hii ni aina ya kumbi za Cinema tulizozizoea.
Hii ni aina ya kumbi za Cinema tulizozizoea.
Umeionaje hii idea ya kutazama movie ndani ya ‘mabeseni’ ? naomba niachie comment yako hapo chini mtu wangu

Thursday, 10 April 2014

50 Cent na mapenzi yake, amesemaje kuhusu kuwa na msichana kama Rihanna?

Screen Shot 2014-04-11 at 2.11.05 AM 

Kama hii ilikupita ni kwamba rapper 50 Cents ameeleza sababu ya kutokuweza kuwa na mwanamke kama Rihanna kwenye interview na show ya The rickey smiley ambapo pia amezungumzia kwanini mapenzi yake na Wanawake tofauti hayakudumu.

Kuhusiana na mapenzi yake yaliyopita na mwigizaji Vivica A. Fox, 50 anasema ilikua ni penzi la haraka yaani kama ajali manake haikua imepangwa na alikua akizongwa na kazi nyingi mpaka kufikia mwisho wa uhusiano huo.
Anasema “ni hizi safari za kazi (tour) zilikua zikitupeleka sehemu tofauti hivyo ilikua ni nafasi nzuri ya sisi bado kupendana lakini kama mmekuwa mbali muda mrefu, yeye hatofurahia hilo na mwisho itashindikana”
Screen Shot 2014-04-11 at 2.12.43 AMKuhusu mapenzi yake na Ciara, 50 anasema ana furaha amefurahia muda aliokua pamoja na Ciara na imekua kawaida kwa watu kugundua uhusiano wake wa kimapenzi pale mapenzi yanapofikia mwisho >>>  “niliongea na bibi yake jana usiku, mi na yeye bado ni marafiki japo sijampa hongera yake ya huu ujauzito bado”
Alipomzungumzia Rihanna, 50 amesema kamwe hawezi kuwa na mwanamke kama Rihanna kwa sababu RiRi ana mambo yake, anapoweza anaachana tu na mwanamme na inaonekana kama Mwanaume alikua na Wanawake wengine, yaani anajiumiza…mtu mwengine kama Rihanna ni Erykah Badu, wako tofauti tu.. mi sitaki mwanamke aina hiyo, mwanamke aina gani sasa hii”
Screen Shot 2014-04-11 at 2.16.44 AM

 

Kutana na jamaa ambaye hataki chakula lakini anakula vipande vya matofali kila siku:

      3 

 Mama yake  huwa anamuandalia kuku kama chakula cha siku lakini anakataa na kutaka apewe vipande vya matofali.

Kwa siku moja anakula vipande kadhaa vya matofali ambapo kwa makadirio huwa anakula kilo 3 kila siku.
Fundi huyo wa kujenga nyumba Pakkirappa Hunagundi anasema kwamba ameanza kula vitu kama hivyo tangu akiwa na miaka 10 na anaweza kukosa chakula lakini hawezi kukosa kula vipande vya matofali.
Akiwa anapata chakula chake hicho akipendacho(matofali) huwa anahitaji kikombe cha maji tu ili kushushia na mwenyewe anasisitiza kwamba hajisikii tofauti kabisa.
Mkazi huyo wa kijiji cha Karnataka nchini India anasema anataka kuzunguka India nzima akionyesha watu uwezo wake huo na kujipatia pesa kwa kuonyesha maajabu hayo.
Angalia hii video uone jinsi jamaa anavyomega matofali.

2


a


1


b


YAANI INASIKITISHA SANA KWA KUMUONA BINADAMU MWENZAKO ANASHINDWA KULA CHAKULA CHA KAWAIDA HAD ANAKULA MATOFALI .

NDOA YA WEMA SEPETU NA DIAMOND SASA KUFANYIKA MWEZI WA NANE MWAKA HUU.

              

MTABIRI mwenye jina kubwa kwa sasa Bongo, Maalim Hassan Yahya Hussein ambaye ni mrithi wa kazi za marehemu Yahya Hussein ameibuka wiki hii na kuanika kwamba, Agosti mwaka huu Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Wema Sepetu watafunga ndoa.


Akizungumza na Amani jijini Dar es Salaam juzikati, Hassan alisema amepiga mahesabu ya kinyota kwa wapenzi hao na kubaini kuwa, Agosti ndoa yao itafungwa mahali popote nchini Tanzania.

Akaongeza: “Kama wapo kwenye mipango au maandalizi wakazane, kwani mwezi Agosti ndiyo wenyewe kwa mujibu wa nyota za wote

“Lakini nawapa angalizo muhimu, wakae wakijua kwamba kama ndoa hiyo haitatimia Agosti kutokana na sababu zao wenyewe, haitafungwa tena hadi mwaka 2016, kwa sababu lazima ndoa yao iwe kwenye mwaka unaogawanyika.”
 



Kuhusu huyu mchezaji wa zamani wa Arsenal kujiunga na vita ya jihad Syria






           Bky67_lCAAAH5k7

Kiungo wa zamani wa Arsenal na Real Madrid anayekipiga katika klabu ya Lokomotiv Moscow Lassana Diarra amekanusha madai kwamba ni mfuasi wa vita ya kidini nchini Syria.
Wiki iliyopita iliripotiwa kwamba Diarra (29) alijiunga na vita inayoendelea Syria baada ya kutolewa kwa video inayomuonyesha mtu akiwa kajifunika uso huku akijitambulisha kwamba ni Lassana Diarra.
Hata hivyo kiungo huyu wa timu ya taifa ya Ufaransa ambae aliwahi pia kuitumikia Portsmouth na Chelsea, ametoa taarifa rasmi kupitia wakili wake na kusema hahusiki kabisa na hiyo video.
“Hajawahi kukanyaga nchini Syria, ni ujinga na yeye sio mfuasi wa jihad, ni mwanasoka anayeichezea Lokomotiv Moscow,” amesema Mwanasheria wake.
 

Kuhusu mtoto aliekua amenaswa na risasi kichwani shambulio la Mombasa.



















           Screen Shot 2014-04-10 at 12.17.36 PM

March 23 2014 lilivamiwa kanisa moja huko Mombasa Kenya watu wakiwa katikati ya ibada ambapo waliovamia walitekeleza mauaji kwa risasi huku miongoni mwa waliouwawa akiwa ni mama wa mtoto huyu aitwae Satrin.
Inasemekana mama huyu aliuwawa kwa risasi akiwa kamkinga mwanae asipatwe na risasi lakini hata hivyo risasi hiyo ilimuua mama na kwenda kutua na kubaki kwenye kichwa cha mtoto Satrin ambae alikimbizwa hospitali na siku kadhaa baadae risasi ikatolewa.
Taarifa ya leo kutoka hospitali ya Kenyatta Nairobi Kenya, Satrin Osinya ameruhusiwa kuondoka hospitalini leo baada ya hali yake kiafya kuimarika toka alipotolewa risasi kichwani.
Baba yake aitwae Ben Osinya anasema amefurahishwa na hali ya mwanae ambapo furaha yake ilianza wakati alipopata habari ya kufanikiwa katika upasuaji ulioitoa risasi.

             Screen Shot 2014-04-10 at 12.17.52 PM




 AMTOA MWANAE ILI ALIWE NA FISI


                      
Jeshi la Polisi mkoani Simiyu linamshikilia mkazi mmoja wa kijiji cha Songambele wilayani Maswa, kwa tuhuma za kutaka kumuua mtoto wake kwa kumtupa na kumtelekeza nje ya nyumba ili aliwe na fisi.

Kamanda wa polisi mkoani Simiyu, Charles Mkumbo alisema ofisini kwake jana kuwa tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa nane usiku wakati mtuhumiwa Baya Seni (30) akiwa amelala na familia yake kijijini hapo, ndipo alipokurupuka ndani akampiga mtoto wake Amos Baya (3) na kisha kumtupa na kumtelekeza nje ya nyumba.
Alisema, Seni katika maelezo yake kituo cha polisi alisema alifikia uamuzi huo kwa kuwa hakuona thamani ya mtoto wa kiume kwenye familia yake kwani uzoefu umeonesha kuwa watoto wa kiume wakikua hudai kupata mirathi kutoka kwa wazazi wao .
Alisema kinyume chake watoto wa jinsia ya kike wakikua watamuongezea utajiri wa mifugo atakapolipwa mahari ili waolewe na baada ya kuolewa hawawi mzigo tena kwenye familia yake bali mzigo huo huhamia kwenye familia atakayoolewa. Mtoto huyo aliokolewa na majirani baada ya kusikia kilio.
Mama wa mtoto huyo Elizabeth Paulo alisema, mume wake alikuwa akimtesa sana mtoto wake akimbagua kwa vile yeye ni wa jinsia ya kiume na kwamba hana faida kwake.